Watu wengi wanapenda kula chipsi kwasababu ni chakula ambacho kinapatikana kwa uraahisi na kwa bei rahisi. Inaweza kuwa chipsi kavu, chipsi yai, chipsi kuku au chipsi dume zikiliwa ziinatoa pongezi katika mwili kwamba ukila roho na nafsi inaburudika sana.
Watu wakiwa na maumivu makali wakati wa hedhi au hasira hukimbilia kula chipsi kwasababu ni chakula kinachotoa pongezi ya kuwafanya wajiskie vizuri.
Madhara ya kula chipsi;
๐ญ๐ถ๐ป๐ฎ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ฑ๐ฎ๐บ๐.
Chakula hiki kinaandaliwa kwa kutumia viazi mviringo (wanga) ambavyo vinauwezo mkubwa sana wa kupandisha sukari yani vinauwezo mkubwa wa kupandisha sukari kwenye damu.
Kwahiyo jinsi unavyokula kwa kiasi kikubwa ndivyo unavyozidi kuongeza kiwango cha sukari katika damu na badae kupata magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu n.k
๐ญ๐ถ๐ป๐ฎ๐ผ๐ป๐ด๐ฒ๐๐ฎ ๐ป๐ท๐ฎ๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ฎ.
Mara baada ya kumaliza chipsi kwa muda mfupi mtu huskia njaa kutokana na mwitikio wa kongosho kwa kasi kushusha sukari. Hali hiyo inasababisha kupata njaa za mara kwa mara na kukufanya utamani kula zaidi na kuongezeka uzito kwa kasi.
ย ๐ญ๐ถ๐ป๐ฎ๐ผ๐ป๐ด๐ฒ๐๐ฎ ๐๐๐บ๐ ๐บ๐๐ถ๐น๐ถ๐ป๐ถ
Watu wengi wanatumia mafuta ya mbegu za mimea kama pamba, alizeti na mahindi kukaangia chipsi. Mafuta hayo hayahimili moto na yanaporudiwa kupikia zaidi ya maramoja yanazalisha sumu nyingi wakati wa kukaanga. Sumu hizo zinasababisha magonjwa kama pumu ya kifua au ngozi, maumivu makali ya hedhi n.k
Kwahiyo ni vizuri zaidi kwa afya yako kula viazi au mihogo ya kuchemsha au kuchoma kuliko kukaanga huku ukisema unakula kiafya. Kwa wale wanaotaka kudhibiti magonjwa mbalimbali ni vizuri zaidi kuacha kula vyakula vya wanga na vyakula vya kukaanga kwasababu yatazidisha magonjwa mengine kuibuka mwilini.
Mafuta mazuri tunayoshauri kutumia katika ili kuongeza ladha kwenye chakula ambayo pia ni tiba ambayo ni;
ย ๐ด๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
ย ๐ด๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐
ย ๐ด๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐ด๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐.๐
Hayo ndio mafuta mazuri kiafya ambayo yatakusaidia kujikinga na maradhi ya lishe.
Jifunze zaidi; bonyeza link hiiย
๐๐:
Nakushauri kupata Kitabu cha ๐ฆ๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฝ๐ถ๐๐ต๐ถ. Kitabu kinatoa elimu ya magonjwa ya lishe, elimu ya sayansi ya vyakula sahihi kwa afya na mpangilio wa chakula utakaokusaidia kuondokana na magonjwa ya lishe kama kisukari, kitambi na uzito mkubwa, shinikiizo la damu upungufu wa nguvu za kiume n.k.
KWA USHAURI NA MATIBABU
ย Karibu ๐ก๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐๐ฒ๐ฎ๐น๐๐ต๐ฐ๐ฎ๐ฟ๐ฒ tupo mkabala na ๐ต๐ผ๐๐ฝ๐ถ๐๐ฎ๐น๐ถ ๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐บ๐ฎ๐น๐ฎ.
ย Tupigie ๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ณ๐ฌ๐ฏ๐ฌ๐ญ๐ฒ๐ฌ


