๐Œ๐€๐ƒ๐‡๐€๐‘๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐‹๐€ ๐‚๐‡๐ˆ๐๐’๐ˆ

whatsapp image 2024 04 13 at 6.02.49 pm 768x432

Watu wengi wanapenda kula chipsi kwasababu ni chakula ambacho kinapatikana kwa uraahisi na kwa bei rahisi. Inaweza kuwa chipsi kavu, chipsi yai, chipsi kuku au chipsi dume zikiliwa ziinatoa pongezi katika mwili kwamba ukila roho na nafsi inaburudika sana.

Watu wakiwa na maumivu makali wakati wa hedhi au hasira hukimbilia kula chipsi kwasababu ni chakula kinachotoa pongezi ya kuwafanya wajiskie vizuri.

Madhara ya kula chipsi;
๐—ญ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚.
Chakula hiki kinaandaliwa kwa kutumia viazi mviringo (wanga) ambavyo vinauwezo mkubwa sana wa kupandisha sukari yani vinauwezo mkubwa wa kupandisha sukari kwenye damu.

Kwahiyo jinsi unavyokula kwa kiasi kikubwa ndivyo unavyozidi kuongeza kiwango cha sukari katika damu na badae kupata magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu n.k

๐—ญ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐—ท๐—ฎ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ.
Mara baada ya kumaliza chipsi kwa muda mfupi mtu huskia njaa kutokana na mwitikio wa kongosho kwa kasi kushusha sukari. Hali hiyo inasababisha kupata njaa za mara kwa mara na kukufanya utamani kula zaidi na kuongezeka uzito kwa kasi.

ย ๐—ญ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐˜€๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ถ
Watu wengi wanatumia mafuta ya mbegu za mimea kama pamba, alizeti na mahindi kukaangia chipsi. Mafuta hayo hayahimili moto na yanaporudiwa kupikia zaidi ya maramoja yanazalisha sumu nyingi wakati wa kukaanga. Sumu hizo zinasababisha magonjwa kama pumu ya kifua au ngozi, maumivu makali ya hedhi n.k

Kwahiyo ni vizuri zaidi kwa afya yako kula viazi au mihogo ya kuchemsha au kuchoma kuliko kukaanga huku ukisema unakula kiafya. Kwa wale wanaotaka kudhibiti magonjwa mbalimbali ni vizuri zaidi kuacha kula vyakula vya wanga na vyakula vya kukaanga kwasababu yatazidisha magonjwa mengine kuibuka mwilini.

Mafuta mazuri tunayoshauri kutumia katika ili kuongeza ladha kwenye chakula ambayo pia ni tiba ambayo ni;
ย ๐‘ด๐’‚๐’‡๐’–๐’•๐’‚ ๐’š๐’‚๐’๐’‚๐’š๐’๐’•๐’๐’Œ๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’๐’š๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’š๐’†๐’๐’š๐’†๐’˜๐’†
ย ๐‘ด๐’‚๐’‡๐’–๐’•๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐’๐’‚๐’›๐’Š
ย ๐‘ด๐’‚๐’‡๐’–๐’•๐’‚ ๐’š๐’‚๐’๐’‚๐’š๐’๐’•๐’๐’Œ๐’‚๐’๐’‚ ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’‚๐’›๐’Š๐’˜๐’‚
๐‘ด๐’‚๐’‡๐’–๐’•๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐’Ž๐’›๐’‚๐’Š๐’•๐’–๐’๐’Š ๐’.๐’Œ
Hayo ndio mafuta mazuri kiafya ambayo yatakusaidia kujikinga na maradhi ya lishe.

Jifunze zaidi; bonyeza link hiiย 

๐๐:
Nakushauri kupata Kitabu cha ๐—ฆ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ถ. Kitabu kinatoa elimu ya magonjwa ya lishe, elimu ya sayansi ya vyakula sahihi kwa afya na mpangilio wa chakula utakaokusaidia kuondokana na magonjwa ya lishe kama kisukari, kitambi na uzito mkubwa, shinikiizo la damu upungufu wa nguvu za kiume n.k.

KWA USHAURI NA MATIBABU

ย Karibu ๐—ก๐˜€๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต๐—ฐ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ tupo mkabala na ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ฎ.

ย Tupigie ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿฒ๐Ÿณ๐Ÿฌ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿญ๐Ÿฒ๐Ÿฌ

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *