๐Œ๐€๐Œ๐๐Ž ๐˜๐€ ๐Š๐”๐™๐ˆ๐๐†๐€๐“๐ˆ๐€ ๐Š๐€๐๐‹๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐๐„๐๐€ ๐Œ๐ˆ๐Œ๐๐€

mamo ya kuzingatia mjamzito 768x432

Ni jambo la muhimu sana kwa wanandoa kuzingatia hili kabla ya kufanya maamuzi wao wenyewe. Kabla ya wanandoa kutaka mtoto ni lazima kujenga tabia ya kufanya uchunguzi wa afya kabla ya kubeba ujauzito.

modern medical office young black 600nw 2578999699

Kumekuwa na hisitoria kwa wanawake wengi wenye matatizo ya watoto kufia tumboni kuwa na presha kuwa juu au sukari kuwa juu. Wengi wao baada ya uchunguzi wanakutwa wana viashiria vibaya ambavyo vinawaletea kisukari wakati wa mimba au shinikizo la damu wakati wa mimba.

Uchunguzi wa mwili mzima kabla ya kubeba ujauzito ni muhimu sana kwa mwanamke yeyote ambaye anataka kubeba ujauzito. Jambo hilo litamfanya mwanamke awe katika mazingira salama kwasababu anaweza kuzuia mambo mengi kiafya.

Dr. Boaz huwashauri wanawake wengi kufanya matengenezo kwanza kabla ya kubeba ujauzito kwa muda fulaniย  mpaka afya zao zitakapokuwa sawa. Hilo linamsaidia mwanamke kupata wakati sahihi wa kubeba ujauzito bila karaha za magonjwa magonjwa hatarishi wakati wa ujauzito.

Jifunze zaidi; bonyeza link hii 

Nakushauri kupata Kitabu cha ๐—ฆ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—›๐—ผ๐—บ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐—ด๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ, ni kitabu kinachotoa elimu juu ya afya ya uzazi na magonjwa ya uzazi ikiwemo mvurugiko wa homoni, ugumba, uvimbe kwenye kizazi na magonjwa mbalimbali ya uzazi. Pia kinatoa mwongozo wa kula kiafya Ili kuepukana na magonjwa ya uzazi ikiwemo mvurugiko wa homoni.

KWA USHAURI NA MATIBABU 

 Karibu ๐—ก๐˜€๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต๐—ฐ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ tupo mkabala na ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ฎ.

 Tupigie ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿฒ๐Ÿณ๐Ÿฌ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿญ๐Ÿฒ๐Ÿฌ

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *