Watu wengi tunaonekana wazima kwa macho lakini kwa ndani huwa tunaumwa kutokana na madhara ya chakula mwilini. Ni muhimu kujenga tabia ya kutembelea kituo cha afya kupima afya zetu ili tujue kama tunanyemelewa na magonjwambalimbali kama kisukari na kuanza matibabu mapema.

Mtarajiwa wa ugonjwa wa kisukari anaonyesha dalili zifuatazo;
𝗞𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗻𝗷𝗮𝗮 𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗿𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝗮𝗿𝗮
Mwili kuhisi njaa za mara kwa mara ambazo hazivumiliki, mtu anaweza kula chakula na bado akajiskia njaa baada ya muda mfupi.
𝗞𝘂𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗶 𝘁𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗹𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮.
Mtarajiwa wa kisukari anaongezeka uzito kwa kasi ambao ni vigumu kupungua kutokana na kula mara kwa mara.
𝗞𝘂𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗶 𝘁𝗲𝗻𝗱𝗼 𝗹𝗮 𝗻𝗱𝗼𝗮.
Mtarajiwa wa kisukari anakosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa kukosa hamu ya tendo la ndoa, kupata maumivu sehemu za siri au
𝗨𝗴𝘂𝗺𝗯𝗮.
Mwanamke ambaye ni mtarajiwa wa ugonjwa wa kisukari anapata changamoto ya kushindwa kubeba mimba au mimba zinatoka au kushindwa kupata ujauzito.
𝗞𝘂𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗲𝘂𝘀𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝗶𝗸𝘂𝗻𝗷𝗼 𝘆𝗮 𝗻𝗴𝗼𝘇𝗶.
Mtarajiwa wa ugonjwa wa kisukari anaweza kupata weusi katika sehemu za mwili hasa chini ya mikunjo ya ngozi kama shingoni, kwenyemapaja au makwapani. Weusi huo hauwezi kutoka kwa vipodozi vya aina yoyote.
𝗞𝘂𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝗰𝗵𝗼𝘃𝘂 𝗺𝗸𝗮𝗹𝗶.
Mtahiniwa wa kisukari muda wote anakuwa na uchovu mkali wa mwili unaoambatana na dalili za maleria unaopelekea kushindwa kufanya kazi kwa wakati.
Unapoona dalili hizo nakushauri uwahi kutembelea kituo cha afya ili kuanza matibabu ya kudhibiti ugonjwa wa kisukari kwasababu unamadhara makubwa ikiwemo kupoteza viungo, kupata ugumba n.k
Jifunze zaidi; bonyeza link hii
𝐍𝐁:
Nakushauri kupata Kitabu cha 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝗽𝗶𝘀𝗵𝗶. Kitabu kinatoa elimu ya manunuzi, elimu ya magonjwa ya lishe, elimu ya vyakula sahihi kwa afya na mpangilio wa chakula utakaokusaidia kuondokana na magonjwa ya lishe kama kisukari, kitambi na uzito mkubwa, shinikiizo la damu upungufu wa nguvu za kiume n.k.
KWA USHAURI NA MATIBABU
Karibu 𝗡𝘀𝗮𝗺𝗯𝗼 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵𝗰𝗮𝗿𝗲 tupo mkabala na 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝘆𝗮𝗺𝗮𝗹𝗮.
Tupigie 𝟬𝟳𝟲𝟳𝟬𝟯𝟬𝟭𝟲𝟬


