Asili ya muwa ni mgumu kwasababu ya kumfanya mtu asiweze kula miwa mingi ndio maana mtu anaweza kula fundo tano za miwa na kupata maumivu ya taya kuchoka ili asiweze kula miwa mingi na kujaza sukari inayotokana na miwa mwilini.
Unaokunywa glasi moja ya juisi ya miwa inakuwa umeumiminia mwili wako sukari nyingi sana kwasababu mwili wwa binadamu unalita tano mpaka saba za damu ambapo unaendeshwa na kiasi cha gramu tano za sukari.
Kunywa juisi ya miwa haiendi kusuuza figo bali inaenda kuumiza figo kwasababu sukari inayoingia inaenda kubadilishwa na kuhifadhiwa kama mafuta kwenye viungo ndani ya mwili ikiwemo figo.

Hata kwa virutubisho vingi vinavyopatikana kwenye miwa vinavyotembea na majimaji haviwezi kuhifadhiwa mwilini kwa muda mrefu. Virutubisho hivyo vya ziada vikizidi mwilini vitatolewa kwa njia ya mkojo.
Kwahiyo kunywa juisi nyingi ya miwa haisaidii mwili kupata virutubisho bali virutubisho vyote vitatolewa kwa njia ya mkojo na pia mwili utajaa sukari na kusababisha uhifadhi wa mafuta ya ziada kwa wingi mwilini.
Mafuta yanayotengeneza kitambi na kukufanya unenepe ni hifadhi ya sukari ya ziada inayobaki mwilini inayokosa matumizi mwilini ambayo pia inatokana na unywaji wa vinywaji vywenye sukari pamoja na vyakula vya wanga.
Mwili wa binadamu hauna uwezo wa kutofautisha kati ya sukari ya kiwandani na sukari ya asili, sukari inapoingia mwilini inahesabika kama ni sukari kwasababu mchakato wa sukari mwilini ni mmoja.
Jifunze zaidi; bonyeza link hii
Nakushauri kupata Kitabu cha 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝗽𝗶𝘀𝗵𝗶. Kitabu kinatoa elimu ya magonjwa ya lishe, elimu ya sayansi ya vyakula sahihi kwa afya na mpangilio wa chakula utakaokusaidia kuondokana na magonjwa ya lishe kama kisukari, kitambi na uzito mkubwa, shinikiizo la damu upungufu wa nguvu za kiume n.k.
KWA USHAURI NA MATIBABU
Karibu 𝗡𝘀𝗮𝗺𝗯𝗼 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵𝗰𝗮𝗿𝗲 tupo mkabala na 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝘆𝗮𝗺𝗮𝗹𝗮.
Tupigie 𝟬𝟳𝟲𝟳𝟬𝟯𝟬𝟭𝟲𝟬


