JE DAKTARI NATAKIWA NILE MAYAI MANGAPI KWA SIKU? NAAMBIWA YANA CHOLESTEROL NYINGI NILE MAYAI 3 KWA WIKI NZIMA.
Jibu: Ni kweli elimu hizi zina utata sana. Hata mimi mara ya kwanza nimekula yai zima baada ya kuijua elimu ya #sayansiyamapishi mbali na kwamba nimekulia kijijini bibi yangu akiwa mfugaji mzuri sana wa kuku.
Halafu nashangaa kwamba unapomwambia mtu βAtupe kiini cha Yaiβ Maana yake Anakula yai ambalo β Halina Vitamin A,D,E na Kβ , kwasababu aana Kiini cha Yai ndo Kila aina ya madini na vitamin hukaa. Mbali na hivyo unapotupa kiini unatupa aina ya mafuta yanayosaidia kutibia majeraha ya mwili yaani Omega 3 Ant inflammatory Fats. Sasa Unachokula βKiini cheupe unapata Nini humoβ Kwa nini magonjwa yasikuandame? Labda utembee na makopo ya Virutubisho na virutubisho vyenyewe ghali kweli kweli βVegen wanatuumiza sanaβ

Kwa nini tunaambiwa mayai ni Mabaya?Kwa sababu βCholestrol inahusishwa kusababisha magonjwa ya moyoβ Ingawaje sasa hivi Kuna Ushindi Mwingi sana Kisayansi unao KANUSHA KWAMBA CHOLESTROL PEKEE HAIWEZI KUSABABISHA MAGONJWA YA MOYO, HADI KUWEPO NA MAJERAHA KWENYE KUTA ZA MISHIPA YA DAMU.
Ina maana Siku sio nyingi tutarudia Ukweli wa sayansi Unaosema βDalili ya awali kabisa ya magonjwa ya moyo kabla ya mrundikano wa cholestrol kwenye mishipa ya damu huwa ni Majerahaβ Ina maana Kisababishi cha Mrundikano ni KILE KINACHOLETA MAJERAHA.
Lakini BADO WATU WANANGβANGβANIA ELIMU ILE ILE POTOSHI.
Haya ushahidi mwingine Mwongozo wa lishe mwaka 2010-2015 ulisema tule cholestrol isiyozidi 300mg kwa siku. Ndio maana watu Kampeni hio wameikomalia hadi sasa. Ila nawataarifu tu kwamba Mwongozo wa Lishe wa Amerika ambao ndo wakidunia βHaujaweka Ukomo wa Kiwango cha cholestrol kwa siku kama ilivyo Miongozo ya Nyumaβ Mwongozo 2015-2020
Ukisoma Wameandika hivi β Hatujeweka Ukomo wa cholestrol katika Mwongozo huu, Ila Haimaanishi kwamba Usiwe na Woga na cholestrolβ
Nawaambia tusubili labda wajukuu zangu wataambiwa βTumehangaika kushusha cholestrol na Kupata athari kubwa za dawa na viwanda kuingiza pesa nyingi, Kumbe hatukujuwa kisababishi cha magonjwa ya moyo sio cholestrolβ
Hebu Fikiria kwa nini βTUSIWEKEWE UKOMO KWENYE KITU HATARIβ ?
KWA ELIMU ZAIDI KUHUSU LISHE BORA NA MAGONJWA YA LISHE JIUNGE NA PROGRAMU ZETU HAPO CHINIββ
Kwa mawasiliano piga 0767030160 kupata utaratibu wa kufanya malipo na namna ya kuanza masomo.


