๐‰๐ˆ๐๐’๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐ƒ๐‡๐ˆ๐๐ˆ๐“๐ˆ ๐Œ๐€๐†๐Ž๐๐‰๐–๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Š๐”๐“๐”๐Œ๐ˆ๐€ ๐‚๐‡๐€๐Š๐”๐‹๐€

flat lay assortment fruits vegetables 23 2148487765 600x533

Ili pesa yako uifurahie inatakiwa ulinde afya yako na sio kubomoa afya yako. Nakushauri sana unapopata pesa nunua vyakula vinavyojenga mwili na sio kununua vyakula vinayobomoa mwili na kukufanya uwe na uteja wa vyakula hivyo kama icecream, piza, nk.

ย Kula kiafya sio kujitesa, bali anza kula kwa kufuata mfumo sahihi wa kula utakaokusaidia kutoongezeka uzito. Utovu wa nidhamu katika kula unakuibulia magonjwa mbalimbali kama uvimbe kwenye kizazi, pumu ya kifua, uzito mkubwa, upungufu wa nguvu za kiume n.k.

ย Watu wengi hawajui kupangilia vyakula vya wanga, mafuta, vyakula vya protini.ย  ๐—ฆ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ถย ย ย haikatazi kula vyakula vya wanga bali inakueleza athari za vyakula hivyo endapo unakula kupindukia.

Baada ya watu wengi kuambiwa kwamba vyakula vya mafuta ndivyo vinavyoleta madhara kiafya basi wamekimbilia vyakula vya wanga, mpaka wamekua wahanga wa vyakula hivyo kwasababu havikinaishi wala havichefui. Mwili unapoanza kukinai vyakula vya wanga huwa unaanza kuibua maradhi kama kupata kitambi, nguvu za kiume zimeisha na kuibua magonjwa mbalimbali ya lishe.

Lakini kuna vyakula ambavyo vinawanga na ni salama mwilini kama vile unga wa mbegu za maboga, unga wa korosho au unga wa almond, nyanya, vitunguu tango nk. Kwahiyo tukiweza kujua namna ya kupangilia makundi ya chakula, itatusaidia kudhibiti magonjwaya lishe kwasababu wengi wao wanaumwa kwa kutojua kupangilia makundi ya chakula kwenye sahani.

Jifunze zaidi; Tazama Video hiiย 

Nakushauri kupata Kitabu cha ๐—ฆ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ถ, ni mwongozo wa kula kiafya utakaokusaidia kuondokana na magonjwa ya mfumo wa chakula kwa kufuata mpnaglilio wa lishe bora na kuimarisha afya yako Ili kuepukana na magonjwa mengine ya lishe ikiwemo kisukari, kitambi na uzito mkubwa, shinikiizo la damu upungufu wa nguvu za kiume n.k.

Kitabu kinatoa elimu ya manunuzi, elimu ya magonjwa ya lishe, elimu ya vyakula sahihi kwa afya na mpangilio wa chakula.

KWA USHAURI NA MATIBABU

๐Ÿ“ Karibu ๐—ก๐˜€๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต๐—ฐ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ tupo mkabala na ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐— ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ฎ.

โ˜Ž๏ธ Tupigie ๐Ÿฌ๐Ÿณ๐Ÿฒ๐Ÿณ๐Ÿฌ๐Ÿฏ๐Ÿฌ๐Ÿญ๐Ÿฒ๐Ÿฌ

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *