𝐌𝐀𝐌𝐁𝐎 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐙𝐈𝐍𝐆𝐀𝐓𝐈𝐀 𝐊𝐀𝐁𝐋𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐁𝐄𝐁𝐀 𝐌𝐈𝐌𝐁𝐀

mamo ya kuzingatia mjamzito 768x432

Ni jambo la muhimu sana kwa wanandoa kuzingatia hili kabla ya kufanya maamuzi wao wenyewe. Kabla ya wanandoa kutaka mtoto ni lazima kujenga tabia ya kufanya uchunguzi wa afya kabla ya kubeba ujauzito.

Kumekuwa na hisitoria kwa wanawake wengi wenye matatizo ya watoto kufia tumboni kuwa na presha kuwa juu au sukari kuwa juu. Wengi wao baada ya uchunguzi wanakutwa wana viashiria vibaya ambavyo vinawaletea kisukari wakati wa mimba au shinikizo la damu wakati wa mimba.

Uchunguzi wa mwili mzima kabla ya kubeba ujauzito ni muhimu sana kwa mwanamke yeyote ambaye anataka kubeba ujauzito. Jambo hilo litamfanya mwanamke awe katika mazingira salama kwasababu anaweza kuzuia mambo mengi kiafya.

Uchunguzi wa mwili mzima kabla ya kubeba ujauzito ni muhimu sana kwa mwanamke yeyote ambaye anataka kubeba ujauzito. Jambo hilo litamfanya mwanamke awe katika mazingira salama kwasababu anaweza kuzuia mambo mengi kiafya.

 Dr. Boaz huwashauri wanawake wengi kufanya matengenezo kwanza kabla ya kubeba ujauzito kwa muda fulani  mpaka afya zao zitakapokuwa sawa. Hilo linamsaidia mwanamke kupata wakati sahihi wa kubeba ujauzito bila karaha za magonjwa magonjwa hatarishi wakati wa ujauzito.

Nakushauri kupata Kitabu cha 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗛𝗼𝗺𝗼𝗻𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝗴𝘂𝗺𝗯𝗮, ni kitabu kinachotoa elimu juu ya afya ya uzazi na magonjwa ya uzazi ikiwemo mvurugiko wa homoni, ugumba, uvimbe kwenye kizazi na magonjwa mbalimbali ya uzazi. Pia kinatoa mwongozo wa kula kiafya Ili kuepukana na magonjwa ya uzazi ikiwemo mvurugiko wa homoni.

KWA USHAURI NA MATIBABU 

 Karibu 𝗡𝘀𝗮𝗺𝗯𝗼 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵𝗰𝗮𝗿𝗲 tupo mkabala na 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝘆𝗮𝗺𝗮𝗹𝗮.

 Tupigie 𝟬𝟳𝟲𝟳𝟬𝟯𝟬𝟭𝟲𝟬

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *