Ni jambo la muhimu sana kwa wanandoa kuzingatia hili kabla ya kufanya maamuzi wao wenyewe. Kabla ya wanandoa kutaka mtoto ni lazima kujenga tabia ya kufanya uchunguzi wa afya kabla ya kubeba ujauzito.

Kumekuwa na hisitoria kwa wanawake wengi wenye matatizo ya watoto kufia tumboni kuwa na presha kuwa juu au sukari kuwa juu. Wengi wao baada ya uchunguzi wanakutwa wana viashiria vibaya ambavyo vinawaletea kisukari wakati wa mimba au shinikizo la damu wakati wa mimba.
Uchunguzi wa mwili mzima kabla ya kubeba ujauzito ni muhimu sana kwa mwanamke yeyote ambaye anataka kubeba ujauzito. Jambo hilo litamfanya mwanamke awe katika mazingira salama kwasababu anaweza kuzuia mambo mengi kiafya.
Dr. Boaz huwashauri wanawake wengi kufanya matengenezo kwanza kabla ya kubeba ujauzito kwa muda fulaniย mpaka afya zao zitakapokuwa sawa. Hilo linamsaidia mwanamke kupata wakati sahihi wa kubeba ujauzito bila karaha za magonjwa magonjwa hatarishi wakati wa ujauzito.
Jifunze zaidi; bonyeza link hii
Nakushauri kupata Kitabu cha ๐ฆ๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ผ๐บ๐ผ๐ป๐ถ ๐ป๐ฎ ๐จ๐ด๐๐บ๐ฏ๐ฎ, ni kitabu kinachotoa elimu juu ya afya ya uzazi na magonjwa ya uzazi ikiwemo mvurugiko wa homoni, ugumba, uvimbe kwenye kizazi na magonjwa mbalimbali ya uzazi. Pia kinatoa mwongozo wa kula kiafya Ili kuepukana na magonjwa ya uzazi ikiwemo mvurugiko wa homoni.
KWA USHAURI NA MATIBABU
Karibu ๐ก๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐๐ฒ๐ฎ๐น๐๐ต๐ฐ๐ฎ๐ฟ๐ฒ tupo mkabala na ๐ต๐ผ๐๐ฝ๐ถ๐๐ฎ๐น๐ถ ๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐บ๐ฎ๐น๐ฎ.
Tupigie ๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ณ๐ฌ๐ฏ๐ฌ๐ญ๐ฒ๐ฌ


