𝐈𝐣𝐮𝐞 𝐒𝐚𝐲𝐚𝐧𝐬𝐢 𝐲𝐚 𝐇𝐨𝐦𝐨𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐔𝐠𝐮𝐦𝐛𝐚.
Matatizo mengi ya uzazi yananzia tangu mtoto anapokuwa katoka ngazi ya chini kabisa. Ni bora kumwambia binti ukweli wa kutunza afya yake ya uzazi ukweli ili hata akipuuza tayari ulishampa msaada kuzingatia afya yake ya uzazi tangu awali.
Unakuta binti mdogo anasumbuliwa na maumivu makali ya hedhi bila mafanikio kwasababu hana elimu ya kudhibiti maumivu hayo, hilo jambo sio la kupuuzia kabisa.
Lakini wanawake wengi hawanatabia ya kupima afya au kujitathmini kiafya kabla ya kubeba ujauzito jambo ambalo linahatarisha afya ya mtoto na mama kupata magonjwa kama shinikizo la damu, kisukari, pumu n.k
Mwanamke anapobeba ujauzito akiwa na magonjwa mwilini anaweza kuibua magonjwa mbalimbali yaliyojificha kama ambayo alikua nayo kwa muda mrefu kwahiyo kitendo cha kubeba ujauzito ndicho kinaibua magonjwa hayo.
Kunawanawake wameshindwa kubeba ujauzito kwasababu mimba zinaharibika, mtoto anafariki akiwa tumboni, au presha inapanda. Tukio hilo linaweza kujirudia endapo mwanamke hajaenda kufanya ukarabati wa lile tatizo linalomfanya ashindwe kubeba ujauzito.
Mwanamke anaweza kuzaa mtoto wa kwanza na baadae kushindwa kuzaa tena kutokana na mwili kuathirika au kuwa na mgonjwa ambayo yamesababisha kupata ugumba au matatizo ya afya ya uzazi.
Unaweza kujikinga na matatizo yote ya afya ya uzazi kwa kupata nakala ya kitabu cha 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗛𝗼𝗺𝗼𝗻𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝗴𝘂𝗺𝗯𝗮 ambacho kimeeleza kuhusu;
𝑴𝒂𝒎𝒃𝒐 𝟏𝟓 𝒚𝒂𝒏𝒂𝒚𝒐𝒔𝒂𝒃𝒂𝒃𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒖𝒈𝒖𝒎𝒃𝒂 𝒏𝒂 𝒔𝒖𝒍𝒖𝒉𝒊𝒔𝒉𝒐 𝒍𝒂𝒌𝒆.
𝑬𝒍𝒊𝒎𝒖 𝒚𝒂 𝒎𝒛𝒖𝒏𝒈𝒖𝒌𝒐 𝒘𝒂 𝒉𝒆𝒅𝒉𝒊.
𝑾𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒈𝒂𝒏𝒊 𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒃𝒆𝒃𝒂 𝒎𝒊𝒎𝒃𝒂.
𝑳𝒊𝒔𝒉𝒆 𝒘𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒎𝒕𝒐𝒕𝒐.
𝑴𝒂𝒎𝒃𝒐 𝒚𝒂𝒏𝒂𝒚𝒐𝒂𝒕𝒉𝒊𝒓𝒊 𝒖𝒛𝒂𝒛𝒊.
Jifunze zaidi; bonyeza link hii ![]()
𝐍𝐁
:
Nakushauri kupata Kitabu cha 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗛𝗼𝗺𝗼𝗻𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝗴𝘂𝗺𝗯𝗮, ni kitabu kinachotoa elimu juu ya afya ya uzazi na magonjwa ya uzazi ikiwemo mvurugiko wa homoni, ugumba, uvimbe kwenye kizazi na magonjwa mbalimbali ya uzazi. Pia kinatoa mwongozo wa kula kiafya Ili kuepukana na magonjwa ya uzazi ikiwemo mvurugiko wa homoni.
KWA USHAURI NA MATIBABU
Karibu 𝗡𝘀𝗮𝗺𝗯𝗼 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵𝗰𝗮𝗿𝗲 tupo mkabala na 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝘆𝗮𝗺𝗮𝗹𝗮.
Tupigie 𝟬𝟳𝟲𝟳𝟬𝟯𝟬𝟭𝟲𝟬


