𝐅𝐀𝐈𝐃𝐀 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐑𝐔𝐓𝐔𝐁𝐈𝐒𝐇𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐂𝐎𝐋𝐋𝐀𝐆𝐄𝐍 𝐌𝐖𝐈𝐋𝐈𝐍𝐈

cover 1

𝐊𝐢𝐫𝐮𝐭𝐮𝐛𝐢𝐬𝐡𝐨 ni kitu ambacho kinaufanya mwili uweze kufanya kazi  katika hali inayotakiwa kiafya. 𝐊𝐢𝐫𝐮𝐭𝐮𝐛𝐢𝐬𝐡𝐨 kinaweza kupatikana kwenye vyakula tunavyokula kilasiku kama samaki, kuku, nyama, mayai, mboga za majani na matunda. 

Inapotokea kwamba mtu hajafuata misingi ya lishe bora na hajapata 𝐕𝐢𝐫𝐮𝐭𝐮𝐛𝐢𝐬𝐡𝐨 toshelevu katika kiwango kinachoshauriwa kiafya ili shuhuli za mwili ziendelee kufanya kazi na awe na afya njema asipate magonjwa basi itabidi kupewa virutubisho ambavyo vitamsaidia kuendesha shuhuli za mwili kama inavyotakiwa.

𝐕𝐢𝐫𝐮𝐭𝐮𝐛𝐢𝐬𝐡𝐨 hivyo vinaweza kuwa katika  mfumo wa unga, vidonge au katika mfumo wa maji kwa lengo la kusaidia shuhuli za mwili ziweze kwenda katika kiwango kinachotakiwa.

whatsapp image 2026 01 03 at 17.21.30

𝐌𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐲𝐚𝐧𝐚𝐲𝐨𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐮𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐯𝐢𝐫𝐮𝐭𝐮𝐛𝐢𝐬𝐡𝐨.
Watu wengi wanakula kulingana na malezi na si kulingana na ushauri kutoka kwa daktari, kwahiyo kama mtu anakula kwa kuzingatia ushauri anaoshauriwa na daktari basi hakuna haja yeye kutumia virutubisho.

Watu wengi wanaokabiliwa na magonjwa kama gesi, vidonda vya tumbo huwa yanafanya mwili kushindwa kupata 𝐯𝐢𝐫𝐮𝐭𝐮𝐛𝐢𝐬𝐡𝐨 toshelevu hasa magonjwa kwatika mfumo wa chakula. Kwasababu mfumo wa cha kula ndio sehemu pekee inayofyonza 𝐯𝐢𝐫𝐮𝐭𝐮𝐛𝐢𝐬𝐡𝐨 kutoka kwenye chakula na kuvipeleka mwilini.

Magonjwa mengine kama kisukari na magonjwa ya figo huwa yanazuia mwili wa binadamu usiweze kujipatia 𝐯𝐢𝐫𝐮𝐭𝐮𝐛𝐢𝐬𝐡𝐨 toshelevu na kumfanya kuwa na uhitaji wa virutubisho.

𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 ni Protini inayotengeneza mwili wa binadamu, vyakula vya protini ni vyakula vinavyojenga mwili ambapo asilimia 30 ya protini hiyo inayojenga mwili wa binadamu  ni 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 .

protein sources concept, top view or flat lay

𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 inaweza kupatikana  katika vyakula kama samaki, kuku, mayai na vyakula vyengine vya protini.

Katika mwili wa binadamu ngozi huwa inatengenezwa na asilimia 70 ya protini ya 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 na asilimia 80 ya protini inayotengeneza mifupa ni protini ya𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 .

Kirutubisho cha  𝐆𝐞𝐭 𝐅𝐢𝐧𝐞 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 hiki ni kirutubisho cha kuufanyia  mwil matengenzo hasa katika ngozi kama wale waliopata  madhara ya vipodozi  na magonjwa ya ngozi, wenye matatizo ya nywele kukatika, mtu mwenye matatizo katika mfumo wa chakula kama vile gesi, kiungulia na michubuko katika tumbo.

Kirutubisho cha 𝐆𝐞𝐭 𝐅𝐢𝐧𝐞 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 kimerahisishiwa uwezekano wa kufyonzwa vizuri mwilini kwa urahisi na uwezo wake wa kutibu tatizo linalosababishwa na upungufu wa  collagen mwilini kuwa mkubwa.

Tumeona kwamba  𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 inamchango mkubwa sana katika mwili wa binadamu kwasababu inachukua asilimia 30 kutengeneza mwili wa binadamu, asilimia 80 kutengeneza mifupa na asilimia70 kutengeneza ngozi.

”𝑾𝒂𝒕𝒖 𝒘𝒆𝒏𝒈𝒊 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒊𝒌𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒂𝒕𝒊𝒛𝒐 𝒚𝒂 𝒏𝒈𝒐𝒛𝒊 𝒌𝒖𝒄𝒉𝒂𝒌𝒂𝒂, 𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒚𝒆𝒑𝒆𝒔𝒊 𝒂𝒖 𝒌𝒖𝒇𝒖𝒃𝒂𝒂 , 𝒎𝒂𝒖𝒎𝒊𝒗𝒖 𝒚𝒂 𝒋𝒐𝒊𝒏𝒕 𝒏𝒂 𝒎𝒊𝒇𝒖𝒑𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒂𝒕𝒊𝒛𝒐 𝒚𝒂 𝒎𝒇𝒖𝒎𝒐 𝒘𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒌𝒖𝒍𝒂 𝒉𝒊𝒛𝒐 𝒛𝒐𝒕𝒆 𝒏𝒊 𝒅𝒂𝒍𝒊𝒍𝒊 𝒛𝒂 𝒖𝒑𝒖𝒏𝒈𝒖𝒇𝒖 𝒘𝒂 𝒄𝒐𝒍𝒍𝒂𝒈𝒆𝒏.
𝑲𝒘𝒂𝒉𝒊𝒚𝒐 𝒃𝒂𝒂𝒅𝒂 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒐𝒏𝒂 𝒖𝒎𝒖𝒉𝒊𝒎𝒖 𝒎𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒘𝒂 𝒄𝒐𝒍𝒍𝒂𝒈𝒆𝒏 𝒌𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖 𝒕𝒖𝒌𝒂𝒏𝒐𝒏𝒂 𝒌𝒊𝒕𝒆𝒏𝒈𝒆𝒏𝒆𝒛𝒘𝒆 𝒌𝒊𝒓𝒖𝒕𝒖𝒃𝒊𝒔𝒉𝒐 𝒄𝒉𝒂 𝑮𝒆𝒕 𝑭𝒊𝒏𝒆 𝑺𝒖𝒑𝒆𝒓 𝑷𝒓𝒆𝒎𝒊𝒖𝒎 𝑪𝒐𝒍𝒍𝒂𝒈𝒆𝒏 𝒌𝒂𝒕𝒊𝒌𝒂 𝒎𝒖𝒇𝒎𝒐 𝒘𝒂 𝒖𝒏𝒈𝒂 𝒊𝒍𝒊 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒌𝒊𝒕𝒖𝒎𝒊𝒆 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒌𝒖𝒍𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒗𝒊𝒍𝒆 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒄𝒉𝒂𝒊, 𝒌𝒂𝒉𝒂𝒘𝒂, 𝒔𝒖𝒑𝒖, 𝒋𝒖𝒊𝒔𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒖𝒏𝒅𝒂 𝒂𝒎𝒃𝒂𝒚𝒐 𝒉𝒂𝒚𝒂𝒏𝒂 𝒔𝒖𝒌𝒂𝒓𝒊 𝒂𝒖 𝒎𝒂𝒋𝒊 𝒚𝒂 𝒖𝒗𝒖𝒈𝒖𝒗𝒖𝒈𝒖 𝒍𝒆𝒏𝒈𝒐 𝒏𝒊 𝒌𝒖𝒎𝒔𝒂𝒊𝒅𝒊𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒂𝒘𝒆𝒛𝒆 𝒌𝒖𝒌𝒖𝒕𝒂𝒂 𝒏𝒂 𝒄𝒐𝒍𝒍𝒂𝒈𝒆𝒏 𝒉𝒂𝒔𝒂 𝒑𝒂𝒍𝒆 𝒂𝒏𝒂𝒑𝒐𝒊𝒏𝒈𝒊𝒛𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒌𝒖𝒍𝒂 𝒎𝒘𝒊𝒍𝒊𝒏𝒊 𝒂𝒘𝒆𝒛𝒆 𝒌𝒖𝒊𝒏𝒈𝒊𝒛𝒂 𝒄𝒐𝒍𝒍𝒂𝒈𝒆𝒏.” 𝐃𝐫. 𝐁𝐨𝐚𝐳

Watu wengi wanapokutana na matatizo ya ngozi kukosa nuru, chuhusi au ngozi kupauka na kubabuka hukimbilia kutumia vipodozi kutatua tatizo jambo ambalo huwa halisaidii kutatua mzizi wa tatizo kwasababu utatatua kwa juu na sio ndani kwenye chanzo cha tatizo.

b14

𝐆𝐞𝐭 𝐅𝐢𝐧𝐞 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 inamsaidia mtu kutibu tatizo lake kuanzia ndani mpaka nje, kwasababu inatibu majeraha kama mtu ngozi yake imechakaa au imechoka atasaidika kurudisha nuru yake vizuri.

𝐅𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐆𝐞𝐭 𝐅𝐢𝐧𝐞 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧.

𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 inasaidia sana katika ngozi kwasababu inasaidia mwili kutengeneza collagen inayotengeneza ngozi vizuri. Ukitumia collagen bila Vitamin C haitaweza kuwa msaada ndio maana kirutubisho chetu cha 𝐆𝐞𝐭 𝐅𝐢𝐧𝐞 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 kina mchanganyiko wa 𝑽𝒊𝒕𝒂𝒎𝒊𝒏 𝑪 na  𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧   lengo ni kusaidia utendaji kazi wa collagen mwilini kufanikisha maliengo.

𝐆𝐞𝐭 𝐅𝐢𝐧𝐞 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧pia ina 𝑩𝒊𝒐𝒕𝒊𝒏 ambayo inasaidia mwanaume na mwanamke kuwa na nyewele nzuri, inasaidia kupata usingizi na kukupa uwezo wa kizingatia mambo.

𝐆𝐞𝐭 𝐅𝐢𝐧𝐞 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 ina 𝑯𝒚𝒂𝒍𝒖𝒓𝒐𝒏𝒊𝒄 𝑨𝒄𝒊𝒅 iinayosaidia kutengenza ute kwenye viungo, macho au hata kwa mtu mwenye ngozi kavu inayowasha sana inasaidia kuondoa hilo tatizo.

Kwahiyo 𝐆𝐞𝐭 𝐅𝐢𝐧𝐞 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧 inasaidia kurudisha ngozi, nuru na tabasamu la mtu kuendana sawa na umri aliokuwa nao.

Kwakuwa 𝐆𝐞𝐭 𝐅𝐢𝐧𝐞 𝐒𝐮𝐩𝐞𝐫 𝐏𝐫𝐞𝐦𝐢𝐮𝐦 𝐂𝐨𝐥𝐥𝐚𝐠𝐞𝐧n ni kirutubisho sawa na kile kiirutubisho  kinachopatikana kwenye chakula hasa vyakula vya protin, mtu anapohitaji kutumia kirutubisho hiki basi anaweza kutumia kulingana na uhitaji wake katika mwili na maelekezo yake ili afikie malengo.

Jifunze zaidi; bonyeza link hii

𝐍𝐁:

Nakushauri kupata Kitabu cha 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝗽𝗶𝘀𝗵𝗶. Kitabu kinatoa elimu ya magonjwa ya lishe, elimu ya sayansi ya vyakula sahihi kwa afya na mpangilio wa chakula utakaokusaidia kuondokana na magonjwa ya lishe kama kisukari, kitambi na uzito mkubwa, shinikiizo la damu upungufu wa nguvu za kiume n.k.

KWA USHAURI NA MATIBABU

Karibu 𝗡𝘀𝗮𝗺𝗯𝗼 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵𝗰𝗮𝗿𝗲 tupo mkabala na 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝘆𝗮𝗺𝗮𝗹𝗮.

Tupigie 𝟬𝟳𝟲𝟳𝟬𝟯𝟬𝟭𝟲𝟬

Related Articles

Responses

Your email address will not be published. Required fields are marked *