𝐒𝐀𝐁𝐀𝐁𝐔 𝐙𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐔𝐌𝐄 𝐊𝐔𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐇𝐈𝐒𝐈𝐀 𝐙𝐀 𝐓𝐄𝐍𝐃𝐎 𝐋𝐀 𝐍𝐃𝐎𝐀
Mwanaume anaweza asiwe na magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu au maradhi yoyote ambayo yanamusumbua lakini uwezo wake wa kushirikii tendo la ndoa kitandani ukawa umepungua kwa kiasi kikubwa sana.
Moja ya chanzo kinachokusababishia mwanaume asifurahie ndoa yake ni
𝐊𝐮𝐩𝐚𝐧𝐚𝐝𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐡𝐨𝐦𝐨𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐏𝐫𝐨𝐥𝐚𝐜𝐭𝐢𝐧.
Homoni ya 𝐏𝐫𝐨𝐥𝐚𝐜𝐭𝐢𝐧 ni homoni inayotengenezwa na tezi katika ubongo, tezi hiyo inaitwa 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐢𝐨𝐫 𝐏𝐢𝐭𝐮𝐢𝐭𝐚𝐫𝐲 𝐆𝐥𝐚𝐧𝐝. Inashauriwa kwamba homoni hii ya 𝐏𝐫𝐨𝐥𝐚𝐜𝐭𝐢𝐧 inatakiwa iwe katika kiwango kidogo sana kwasababu homoni hii inahusika sana kwa mwanamke mjamzito au kumsaidia mwanamke kuweza kunyonyesha.
Kwakuwa homoni hii inazalishwa pia kwa mwanaume na mwili wake hauna shuhuli au kazi ya kubeba mimba au kunyonyesha basi inatakiwa izalishwe katika kiwango kidogo sana ili kuwezesha shuhuli nyengine za mwili kukamilika bila kuathiri mwili.
Tatizo la homoni ya 𝐏𝐫𝐨𝐥𝐚𝐜𝐭𝐢𝐧 kuwa juu katika damu ya mwanaume yani 𝐇𝐲𝐩𝐞𝐩𝐫𝐨𝐥𝐚𝐜𝐭𝐢𝐧𝐞𝐦𝐢𝐚, mwanaume atapata athari zifuatazo;
⇒𝐈𝐧𝐚𝐩𝐮𝐧𝐠𝐮𝐳𝐚 𝐮𝐭𝐞𝐧𝐠𝐞𝐧𝐞𝐳𝐰𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐛𝐞𝐠𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞.
Inawezakuwa mwanaume umeshapima na kugundua kwamba mbegu zako ziko chache basi moja ya kiashiria kinachoshusha kiwango cha uzalishwaji wa mbegu zako ni kwamba homoni ya 𝐏𝐫𝐨𝐥𝐚𝐜𝐭𝐢𝐧 imepanda katika damu na kusababisha tatizo hilo la kuwa na mbegu kidogo.

⇒𝐈𝐧𝐚𝐬𝐡𝐮𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐢𝐰𝐚𝐧𝐠𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐡𝐨𝐦𝐨𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐮𝐦𝐞 (𝐓𝐞𝐬𝐭𝐨𝐬𝐭𝐞𝐫𝐨𝐧𝐞)
𝐓𝐞𝐬𝐭𝐨𝐬𝐭𝐞𝐫𝐨𝐧𝐞 ni homoni inayoratibu utengenezaji wa mbegu za kiume, inaratibu untengenezaji wa hamu, matamanio na kupanda kwa hisia wakati wa tendo la ndoa. Kwahiyo kitendo cha homoni ya 𝐏𝐫𝐨𝐥𝐚𝐜𝐭𝐢𝐧 kupanda inamfanya mwanaume kushindwa kushiriki tendo la ndoa na hata kupelekea kushindwa kutungisha mimba.
⇒𝐌𝐚𝐮𝐦𝐛𝐢𝐥𝐞 𝐲𝐚 𝐬𝐞𝐡𝐣𝐞𝐦𝐮 𝐳𝐚 𝐬𝐢𝐫𝐢 𝐤𝐮𝐩𝐮𝐧𝐠𝐮𝐚, 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐤𝐮𝐨𝐭𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐢𝐭𝐢 vyote vinamfanya mwanaume kukosa uhuru wa kujiamini vinasababishwa na homoni hiyo ya 𝐏𝐫𝐨𝐥𝐚𝐜𝐭𝐢𝐧 kuwa juu.
Hayo yote yanaweza yakaondoka endapo ukajua nini kinachosababisha homoni ya 𝐏𝐫𝐨𝐥𝐚𝐜𝐭𝐢𝐧 kupanda na kukufanya uanaume wako kuondoka kwa kukosa ujasiri kwa kuwahi kituo cha afya kufanya uchunguzi na kuanza matibabu ya haraka.
𝐃𝐫. 𝐁𝐨𝐚𝐳 𝐌𝐤𝐮𝐦𝐛𝐨 ametoa elimu na mafundisho mbalimbali yanayohusiana na matatizo ya uzazi kwa wanaume pamoja na wanawake kupitia chaneli ya Youtube na mafunzo ya mtandaoni http://www.nsamboshop.co.tz
Jifunze zaidi; bonyeza link hii
𝐍𝐁:
Nakushauri kupata Kitabu cha 𝗦𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗮𝗽𝗶𝘀𝗵𝗶. Kitabu kinatoa elimu ya magonjwa ya lishe, elimu ya sayansi ya vyakula sahihi kwa afya na mpangilio wa chakula utakaokusaidia kuondokana na magonjwa ya lishe kama kisukari, kitambi na uzito mkubwa, shinikiizo la damu upungufu wa nguvu za kiume n.k.
KWA USHAURI NA MATIBABU
Karibu 𝗡𝘀𝗮𝗺𝗯𝗼 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵𝗰𝗮𝗿𝗲 tupo mkabala na 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝘆𝗮𝗺𝗮𝗹𝗮.
Tupigie 𝟬𝟳𝟲𝟳𝟬𝟯𝟬𝟭𝟲𝟬
Responses