Mwanaume anaweza asiwe na magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu au maradhi yoyote ambayo yanamusumbua lakini uwezo wake wa kushirikii tendo la ndoa kitandani ukawa umepungua kwa kiasi kikubwa sana.
Moja ya chanzo kinachokusababishia mwanaume asifurahie ndoa yake ni
๐๐ฎ๐ฉ๐๐ง๐๐๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ก๐จ๐ฆ๐จ๐ง๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ซ๐จ๐ฅ๐๐๐ญ๐ข๐ง.
Homoni ya ๐๐ซ๐จ๐ฅ๐๐๐ญ๐ข๐ง ni homoni inayotengenezwa na tezi katika ubongo, tezi hiyo inaitwa ๐๐ง๐ญ๐๐ซ๐ข๐จ๐ซ ๐๐ข๐ญ๐ฎ๐ข๐ญ๐๐ซ๐ฒ ๐๐ฅ๐๐ง๐. Inashauriwa kwamba homoni hii ya ๐๐ซ๐จ๐ฅ๐๐๐ญ๐ข๐ง inatakiwa iwe katika kiwango kidogo sana kwasababu homoni hii inahusika sana kwa mwanamke mjamzito au kumsaidia mwanamke kuweza kunyonyesha.
Kwakuwa homoni hii inazalishwa pia kwa mwanaume na mwili wake hauna shuhuli au kazi ya kubeba mimba au kunyonyesha basi inatakiwa izalishwe katika kiwango kidogo sana ili kuwezesha shuhuli nyengine za mwili kukamilika bila kuathiri mwili.
Tatizo la homoni yaย ๐๐ซ๐จ๐ฅ๐๐๐ญ๐ข๐งย kuwa juu katika damu ya mwanaume yaniย ๐๐ฒ๐ฉ๐๐ฉ๐ซ๐จ๐ฅ๐๐๐ญ๐ข๐ง๐๐ฆ๐ข๐, mwanaume atapata athari zifuatazo;
โ๐๐ง๐๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐ ๐ฎ๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ง๐๐ณ๐ฐ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐๐ ๐ฎ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐๐ฎ๐ฆ๐.
Inawezakuwa mwanaume umeshapima na kugundua kwamba mbegu zako ziko chache basi moja ya kiashiria kinachoshusha kiwango cha uzalishwaji wa mbegu zako ni kwamba homoni ya ๐๐ซ๐จ๐ฅ๐๐๐ญ๐ข๐ง imepanda katika damu na kusababisha tatizo hilo la kuwa na mbegu kidogo.

โ๐๐ง๐๐ฌ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐ข๐ฐ๐๐ง๐ ๐จ ๐๐ก๐ ๐ก๐จ๐ฆ๐จ๐ง๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ฎ๐ฆ๐ (๐๐๐ฌ๐ญ๐จ๐ฌ๐ญ๐๐ซ๐จ๐ง๐)
๐๐๐ฌ๐ญ๐จ๐ฌ๐ญ๐๐ซ๐จ๐ง๐ ni homoni inayoratibu utengenezaji wa mbegu za kiume, inaratibu untengenezaji wa hamu, matamanio na kupanda kwa hisia wakati wa tendo la ndoa. Kwahiyo kitendo cha homoni ya ๐๐ซ๐จ๐ฅ๐๐๐ญ๐ข๐ง kupanda inamfanya mwanaume kushindwa kushiriki tendo la ndoa na hata kupelekea kushindwa kutungisha mimba.
โ๐๐๐ฎ๐ฆ๐๐ข๐ฅ๐ ๐ฒ๐ ๐ฌ๐๐ก๐ฃ๐๐ฆ๐ฎ ๐ณ๐ ๐ฌ๐ข๐ซ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐, ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐ค๐ฎ๐จ๐ญ๐ ๐ฆ๐๐ญ๐ข๐ญ๐ข vyote vinamfanya mwanaume kukosa uhuru wa kujiamini vinasababishwa na homoni hiyo ya ๐๐ซ๐จ๐ฅ๐๐๐ญ๐ข๐ง kuwa juu.
Hayo yote yanaweza yakaondoka endapo ukajua nini kinachosababisha homoni ya ๐๐ซ๐จ๐ฅ๐๐๐ญ๐ข๐ง kupanda na kukufanya uanaume wako kuondoka kwa kukosa ujasiri kwa kuwahi kituo cha afya kufanya uchunguzi na kuanza matibabu ya haraka.
๐๐ซ. ๐๐จ๐๐ณ ๐๐ค๐ฎ๐ฆ๐๐จ ametoa elimu na mafundisho mbalimbali yanayohusiana na matatizo ya uzazi kwa wanaume pamoja na wanawake kupitia chaneli ya Youtube na mafunzo ya mtandaoni http://www.nsamboshop.co.tz
Jifunze zaidi; bonyeza link hii
๐๐:
Nakushauri kupata Kitabu cha ๐ฆ๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฝ๐ถ๐๐ต๐ถ. Kitabu kinatoa elimu ya magonjwa ya lishe, elimu ya sayansi ya vyakula sahihi kwa afya na mpangilio wa chakula utakaokusaidia kuondokana na magonjwa ya lishe kama kisukari, kitambi na uzito mkubwa, shinikiizo la damu upungufu wa nguvu za kiume n.k.
KWA USHAURI NA MATIBABU
Karibu ๐ก๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐๐ฒ๐ฎ๐น๐๐ต๐ฐ๐ฎ๐ฟ๐ฒ tupo mkabala na ๐ต๐ผ๐๐ฝ๐ถ๐๐ฎ๐น๐ถ ๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐บ๐ฎ๐น๐ฎ.
Tupigie ๐ฌ๐ณ๐ฒ๐ณ๐ฌ๐ฏ๐ฌ๐ญ๐ฒ๐ฌ


